RATIBA YA USAILI WA KADA ZA UALIMU
Katibu wa Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwatangazia waombaji kazi wote wa Kada za Ualimu kuwa,usaili utafanyika kuanzia terehe 14 Januari, 2025 mpaka tarehe 24 Februari, 2025 kama inavyoonekana kwenye ratiba hii.
CLICK HERE 👉RATIBA YA USAILI KADA ZA UALIMU________________________________________________________
TAARIFA KUHUSU USAILI WA KADA ZA UALIMU
Kupitia tangazo hili, Katibu wa Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwatangazia waombaji kazi wote wa Kada za Ualimu ambao usaili wao ulisitishwa kwa muda kuwa usaili huo utafanyika kuanzia terehe 14 Januari, 2025 mpaka tarehe 24 Februari, 2025.
CLICK HERE 👉TANGAZO LA USAILI WA WALIMU
________________________________________________________
0 comments:
Post a Comment