DOWNLOAD PRIMARY NOTES (NUKUU)

 



NUKUU ( NOTES ) MTAALA MPYA 2026

Click here 👉 DOWNLOAD

 NUKUU ( NOTES ) MTAALA ZAMANI 2023

Click here 👉 DOWNLOAD

TIE BOOKS TAALA MPYA 2026 / ZAMANI 2023

CLICK HERE 👉 DOWNLOAD



Share on Google Plus

ABOUT MATERIAL ROOM

MATERIAL ROOM ni blog ambayo lengo lake nikukufanya wewe kupata elimu na kuongeza ufaulu. ELIMU NI UKOMBOZI WA MAISHA.
    Blogger Comment

36 comments:

  1. Hongera sana Mr Peter Mwiza.

    Nafurahishwa na Huduma unayotoa.

    ReplyDelete
  2. Hongera sana Mr Peter Mwiza

    Napendezwa na kazi yako.

    ReplyDelete
  3. Hongera sana Mr Peter mwiza

    ReplyDelete
  4. Kazi nzuri sana hongera

    ReplyDelete
  5. Mr Peter weka namba yako kwajili ya kupokea hela ya maji

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mr peter siwezi kupata soft copy za nukuu za masomo shule za msingi

      Delete
  6. Hongera sana kwa kazi nzuri,naomba tunaomba nukuu za Darasa la awali na darasa la kwanza na la pili Mtaala mpya

    ReplyDelete
  7. Nukuu za English medium tunaomba

    ReplyDelete
  8. Hongeransana Kwa kazi zuri ila tunaomba English medium

    ReplyDelete
  9. Naomba nukuu la 4 2025 somo la sayansi

    ReplyDelete
  10. Nukuu za stadi la sita link haifanyi kazi 🙏🏿msaada

    ReplyDelete
  11. Hongera sana unatubeba sana kielimu

    ReplyDelete
  12. Jaman mbona mm nashindwa kupakua hizo notes, nielekezen plz

    ReplyDelete
  13. hongera Kwa Kazi mzuri tunaomba maandalio na nukuu za masomo ya mtaala mpya Drs la nner

    ReplyDelete
  14. mwamba hongera kwa kutuweka mjini

    ReplyDelete
  15. Hongera Kwa kazi nzuri mwl,but naomba tuweke na mitihani Kwa shule za kawaida kulikon kuwa mi mitihani ya medium tu

    ReplyDelete
  16. Hongera sana kaka kwa kazi nzuri ila nlikuwa nataman kupata notes kwa english medium pia asante

    ReplyDelete
  17. Asante naomba notes za darasa la pili

    ReplyDelete
  18. Hongera kwa kazi nzuri ila naomba muweke na nukuu za hisabati darasa la tano mtaala mpya santeni na kazi njema

    ReplyDelete
  19. Hisabati darasa la tano

    ReplyDelete
  20. Asanteni sana naomba nukuu za historia ya Tanzania darasa la tano mtaala mpya

    ReplyDelete
  21. Hongera naomba nukuu za historia ya tz.maadili std v hyo iliyopo haigunguki

    ReplyDelete
  22. Nukuu za somo la historia ya Tanzania na maadili drs la tano hakuna naona hizo mlizotuma ni za drs la 3 tunaomba mtume tena

    ReplyDelete
  23. Naomba nukuu za somo Sayansi V mtaala mpya

    ReplyDelete
  24. Naomba nukuu za somo Sayansi V mtaala mpya

    ReplyDelete
  25. Naomba nukuu za historia ya Tanzania darasa v

    ReplyDelete
  26. Kila kitu ni kizuri, tunashukuru sana

    ReplyDelete
  27. Nukuu za darasa la sita stadi link haifunguki pls msaada

    ReplyDelete
  28. Hisabati darasa la VII na III hazifunguki

    ReplyDelete
  29. Hongera kwa kazi nzuri mwl peter

    ReplyDelete
  30. Kazi nzuri,naomba nukuu kiswahili v 2026

    ReplyDelete