NUKUU ( NOTES ) MTAALA MPYA 2026
NUKUU ( NOTES ) MTAALA ZAMANI 2023
Click here 👉 DOWNLOAD
TIE BOOKS TAALA MPYA 2026 / ZAMANI 2023
CLICK HERE 👉 DOWNLOAD
MATERIAL ROOM ni blog ambayo lengo lake nikukufanya wewe kupata elimu na kuongeza ufaulu.
ELIMU NI UKOMBOZI WA MAISHA.
Hongera sana Mr Peter Mwiza.
ReplyDeleteNafurahishwa na Huduma unayotoa.
Hongera sana Mr Peter Mwiza
ReplyDeleteNapendezwa na kazi yako.
Safi sana mwl
DeleteNice
DeleteHongera mawl
ReplyDeleteHongera sana Mr Peter mwiza
ReplyDeleteKazi nzuri sana hongera
ReplyDeleteMr Peter weka namba yako kwajili ya kupokea hela ya maji
ReplyDeleteMr peter siwezi kupata soft copy za nukuu za masomo shule za msingi
DeleteHongera sana kwa kazi nzuri,naomba tunaomba nukuu za Darasa la awali na darasa la kwanza na la pili Mtaala mpya
ReplyDeleteNukuu za English medium tunaomba
ReplyDeleteHongeransana Kwa kazi zuri ila tunaomba English medium
ReplyDeleteNaomba nukuu la 4 2025 somo la sayansi
ReplyDeleteNukuu za stadi la sita link haifanyi kazi 🙏🏿msaada
ReplyDeleteKabisa,haifunguki
DeleteHongera sana unatubeba sana kielimu
ReplyDeleteJaman mbona mm nashindwa kupakua hizo notes, nielekezen plz
ReplyDeletehongera Kwa Kazi mzuri tunaomba maandalio na nukuu za masomo ya mtaala mpya Drs la nner
ReplyDeletemwamba hongera kwa kutuweka mjini
ReplyDeleteHongera Kwa kazi nzuri mwl,but naomba tuweke na mitihani Kwa shule za kawaida kulikon kuwa mi mitihani ya medium tu
ReplyDeleteHongera sana kaka kwa kazi nzuri ila nlikuwa nataman kupata notes kwa english medium pia asante
ReplyDeleteNukuu za awali
ReplyDeleteAsante naomba notes za darasa la pili
ReplyDeleteHongera kwa kazi nzuri ila naomba muweke na nukuu za hisabati darasa la tano mtaala mpya santeni na kazi njema
ReplyDeleteHisabati darasa la tano
ReplyDeleteAsanteni sana naomba nukuu za historia ya Tanzania darasa la tano mtaala mpya
ReplyDeleteHongera naomba nukuu za historia ya tz.maadili std v hyo iliyopo haigunguki
ReplyDeleteNukuu za somo la historia ya Tanzania na maadili drs la tano hakuna naona hizo mlizotuma ni za drs la 3 tunaomba mtume tena
ReplyDeleteNaomba nukuu za somo Sayansi V mtaala mpya
ReplyDeleteNaomba nukuu za somo Sayansi V mtaala mpya
ReplyDeleteNaomba nukuu za historia ya Tanzania darasa v
ReplyDeleteKila kitu ni kizuri, tunashukuru sana
ReplyDeleteNukuu za darasa la sita stadi link haifunguki pls msaada
ReplyDeleteHisabati darasa la VII na III hazifunguki
ReplyDeleteHongera kwa kazi nzuri mwl peter
ReplyDeleteKazi nzuri,naomba nukuu kiswahili v 2026
ReplyDelete